Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ommy Dimpoz atuma salamu hizi Yanga wakisherehekea Ubingwa

Ommy Dimpoz Pongezi Yanga Ommy Dimpoz atuma salamu hizi Yanga wakisherehekea Ubingwa

Sat, 13 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Ommy Dimpoz ambaye ni shabiki wa Simba SC ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kuchukua ubingwa wa NBC Premiere League 2022/23 leo baada ya kuifunga Dodoma Jiji.

Mwanamuziki Ommy Dimpoz ambaye ni shabiki wa Simba SC ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kuchukua ubingwa wa NBC Premiere League 2022/23 leo baada ya kuifunga Dodoma Jiji. Dimpoz ambaye huitania Yanga SC kama desturi, amewapongeza kwa kuwatupia kijembe kwa kusema “Hongereni Gongo Wazi hili kombe lilotengenezwa Veta Mna Zali nalo kweli

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: