Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Oliver Glasner apewa mikoba ya babu Hodgson

Oliver Glasner Vs Roy Hodgson Roy Hodgson na Oliver Glasner.

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Crystal Palace imemteua aliyekuwa Kocha wa Eintracht Frankfurt, Oliver Glasner kuwa kocha mkuu klabuni hapo kwa mkataba mpaka 2026.

Glasner (49) raia wa Austria anatua klabuni hapo kuchukua mikoba ya mkongwe Roy Hodgson (76) aliyejiuzulu nafasi yake baada ya kuugua ghafla wakati wa mazoezi ya klabu hiyo siku chache zilizopita.

Oliver Glasner aliiongoza Eintracht Frankfurt kutwaa ubingwa wa Europa league bila kupoteza mchezo hata mmoja msimu wa 2021/22.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live