Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ole Gunnar Solskjaer: Ronaldo ukimuweka Benchi ananuna

Ronaldo X Ole Kocha wa zamani wa klabu ya Manchester, United Ole Gunnar Solskjaer

Thu, 7 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa zamani wa klabu ya Manchester, United Ole Gunnar Solskjaer amefunguka kuwa yeye alimsajili Cristiano Ronaldo mwaka 2021.

Na Ronaldo alimwambia kocha huyo kwamba awe anacheza mfululizo kwenye mechi tatu, badala ya nne, kwa sababu ya umri wake umeenda, lakini pindi ukimuacha nje Ronaldo alikuwa ananuna na kukosa furaha.

Ole Gunnar Solskjaer kafunguka namna hiyo kupitia Stick to Football Podcast.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live