Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Okwa anaumwa, amerudi kwao kutibiwa-Mgunda

Mgunda Na Okwa Okwa anaumwa, amerudi kwao kutibiwa-Mgunda

Fri, 18 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda, amesema kiungo wao mshambuliaji Okwa, anasumbuliwa na nyonga na ndio sababu haonekani kikosini.

Mgunda ameyasema hayo leo Novemba 18, 2022 alipokuwa kwenye mkutano wa kuelekea mechi yao dhidi ya Ruvu Shooting inayotarajiwa kupigwa kesho Wekundu hao wakiwa wageni.

"Nimekuwa nikisema na labda niseme tena, Okwa anaumwa. Alikuja akiwa ni mgonjwa, alituambia tatizo hilo alikuja nalo tangu kwao hivyo tumemruhusu arudi kwao kutibiwa," alisema Mgunda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live