Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Okrah fresh kuwavaa Mashujaa

Okrah Amevunjika Pua Winga wa Yanga, Augustine Okrah

Thu, 8 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa kutoka Yanga zinasema kuwa, Augustine Okrah sasa amerejea na yupo tayari kuivaa Mashujaa. Okrah anatarajiwa kuwepo leo Alhamisi katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mashujaa utakaochezwa saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Azam Complex.

Taarifa kutoka Yanga zinasema kuwa, Augustine Okrah sasa amerejea na yupo tayari kuivaa Mashujaa. Okrah anatarajiwa kuwepo leo Alhamisi katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mashujaa utakaochezwa saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Azam Complex. Kiungo huyo akicheza itakuwa ndio mchezo wake wa kwanza wa Ligi akiwa na jezi ya Yanga tangu ajiunge Disemba mwaka jana akitokea Bechem United ya nchini Ghana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: