Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Okrah fiti kuwavaa Mashujaa FC

Okrah Amevunjika Pua Okrah fiti kuwavaa Mashujaa FC

Thu, 8 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota mpya ndani ya Kikosi cha Yanga, Augustine Okrah aliyeumia kwenye michuano ya Mapinduzi Cup mapema Januari, mwaka huu, sasa amerejea na yupo tayari kuivaa Mashujaa.

Okrah anatarajiwa kuwepo leo Alhamisi katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mashujaa utakaochezwa saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Kiungo huyo akicheza itakuwa ndio mchezo wake wa kwanza wa ligi akiwa na jezi ya Yanga tangu ajiunge nasi Desemba mwaka jana akitokea Bechem United ya nchini Ghana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live