Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Okrah ana stress - Ally Kamwe

Okrah Ana Stress   Ally Kamwe Okrah ana stress - Ally Kamwe

Wed, 21 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema, mchango anaoutoa kiungo wao mshambuliaji Augustine Okrah bado hajachanganya sababu bado ana stress lakini ipo siku atakuwa balaa zaidi.

Kamwe ametoa kauli hiyo jana Februari 20, 2024 baada ya nyota huyo raia wa Ghana kukiwasha kwenye mchezo wa Azam Sports Federation dhidi ya Polisi Tanzania na Okrah kutoa asist mbili katika ushindi wa 5-0 walioupata.

"Okrah bado ana stress alizowahi kuzipata hapa nchini, hata hizi asist mbili alizopata leo, bado hajacheza kwenye kiwango kile anachoweza kucheza akiwa hana stress, ametuhakikishia ipo siku inakuja ambayo stress itakwisha na atafanya balaa," alisema Kamwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live