Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ofa mpya kuinunua Man United yapigwa chini na Familia ya Glazers

Sheikh Jasmini Sheikh Jassim

Sun, 15 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Sheikh Jassim amekuwa na mazungumzo na familia ya Glazers ambayo ndio wamiliki wa Manchester United ili kuinunua 100% ya klabu hiyo.

Sheikh Jassim amekuwa na mazungumzo na familia ya Glazers ambayo ndio wamiliki wa Manchester United ili kuinunua 100% ya klabu hiyo. Kitu cha kushangza ofa mpya ya Sheikh Jassim imekataliwa na familia ya Glazers juu ya mauzo ya Klabu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live