Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Odegaard aliezaliwa upya chini ya Mikel Arteta

Arsenal Midfielder Martin Odegaard 1200x630 Martin Ødergaard

Mon, 13 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Martin Ødergaard amefikisha mabao 10 katika premier league msimu huu, ni mara yake ya kwanza katika career yake kufikisha idadi hiyo ya mabao ndani ya msimu mmoja wa ligi.

Ødegaard katika premier league msimu huu hadi sasa

Michezo 26

Dakika alizocheza 2226

Mabao 10

Pasi za mabao 6

Ana wastani wa kufunga bao kwa kila dakika 223

Ødegaard pia bao alilofunga dhidi ya Fulham hapo jana, limekuwa bao lake la 50 katika career yake kwa upande wa klabu.

Michezo 309

Mabao 50

Pasi za mabao 35

Mnorway wa pili kufikisha mabao 10 katika epl msimu huu baada Erling Haaland

Chanzo: www.tanzaniaweb.live