Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Obi atangaza kutundika daruga

John Obi Mikel John Obi Mikel

Wed, 28 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa zamani wa klabu ya Chelsea, John Obi Mikel (35) ametangaza kustaafu soka baada ya miaka 18.

Kiungo huyo kutokea Nigeria alikuwa Stamford Bridge kwa miaka 11 na baadae kwenda kwenye timu zingine, hivi sasa alikuwa akiichezea Kuwait SC.

Kupitia mtandao wa Instagram, Mikel aliandika kuwa; "Kuna msemo unasema vitu vyote vizuri ni lazima vifikie mwisho, na kwa kazi yangu ya soka la kulipwa, kwangu siku hiyo ni leo".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live