Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyuma ya ule ubora wa Yanga, kuna huyu mtu..!

Gfcfcfc Nyuma ya ule ubora wa Yanga, kuna huyu mtu..!

Mon, 4 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taibi Lagrouni ndio anawaandaa wachezaji wa Yanga kufungua busta kwa dakika 90 non-stop.

Hazungumzwi sana huyu jamaa ila ndio ametia pilipili ya kuwasha kwenye mpira wa Gamondi. Jamaa anawapigisha watu katabogi tu huko Avic Town.

Hatuambiwi tu huku nje lakini inawezekana kuna mtu kashatapika au kutema povu mazoezini. Sasa ukikutana nao uwanjani kazi ndio ile.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: