Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota wanne Liverpool waoneshwa mlango wa kutokea

FwV F40acAIajat Orodha ya wachezaji ambao wataondoka Liverpool mwishoni mwa msimu huu

Thu, 18 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Liverpool imethibitisha kuwa Roberto Firmino, James Milner, Alex Oxlade-Chamberlain na Naby Keita wataondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

Liverpool inatazamiwa kusajili nyota wapya watakaokuja kuziba nafasi za wachezaji wanaoondoka na tayari kuna baadhi ya majina yameanza kuhusishwa.

Jurgen Klopp anataka kukisuka kikosi chake upya baada ya kufanya vibaya msimu huu tofauti na matarajio ya wengi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live