Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota wa kimataifa wa Congo afariki Dunia

Jody Lukoki Jody Lukoki

Tue, 10 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jody Lukoki, amefariki dunia katika umri wa miaka 29 akiwa katika klabu ya FC Twente.

Lukoki kabla ya umauti wake amevitumikia vilabu mbalimbali kama PEC Zwolle, Ludogorets, Yeni Malatyaspor na mara ya mwisho alikuwa anaichezea FC Twente ambayo hata hivyo walisitisha mkataba wake ingawa awali kabisa aliitumikia Ajax.

Mpaka sasa sababu ya kifo chake haijawekwa hadharani.

Lukoki alifunga mabao matano katika mechi 35 za Ajax kabla ya kujiunga na Zwolle mwaka 2014. Mwaka uliofuata akatua Ludogorets, ambapo alitumika miaka mitano na kucheza mechi 158 na kufunga mabao 30.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live