Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota wa Simba: Nini robo, tunabeba ubingwa Afrika

Duchu Simba.jpeg Nyota wa Simba: Nini robo, tunabeba ubingwa Afrika

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Simba David Kameta wakati wakiondoka nchini kuelekea Ivory Coast kumfata Mimosas amesema kuwa Simba safari hii haitoishia robo fainali wanakwenda kupigana na kuhakikisha wanacheza fainali ya ligi ya mabingwa msimu huu.

Mchezaji wa Simba David Kameta wakati wakiondoka nchini kuelekea Ivory Coast kumfata Mimosas amesema kuwa Simba safari hii haitoishia robo fainali wanakwenda kupigana na kuhakikisha wanacheza fainali ya ligi ya mabingwa msimu huu. Duchu amefunguka hayo alipokuwa uwanja wa ndege wakielekea nchini Ivory Coast kukipiga na ASEC Mimosas mchezo wa tano wa hatua ya Makundi, mchezo huo utapigwa Ijumaa hii Februari 23.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live