Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota wa Kongo atua Mtibwa Sugar

Deo Kanda.jpeg Deo Kanda asaini Mtibwa Sugar

Sun, 26 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Mtibwa Sugar imemtambulisha winga mkongwe wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Deo Kanda A Mukok kuwa mchezaji wake mpya wa kwanza katika dirisha hili dogo la Usajili.

Kanda pamoja na kuwika AS Vita ya Kinshasa, TP Mazembe, na DC Motema Pembe za Lubumbashi, kwao DRC na Raja Casablanca ya Morocco, pia amewahi kucheza Simba SC ya Dar es Salaam

Chanzo: www.tanzaniaweb.live