Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota wa Brazil auza nyumba na mali zake zote kisha kuhamia kuishi hotelini

Adrian 6306 Nyota wa Brazil auza nyumba na mali zake zote kisha kuhamia kuishi hotelini

Thu, 28 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil, Adriano ameuza nyumba yake ya kifahari kwa bei ya £1.2m sawa na Bilioni 3.2 za kitanzania.

Adriano baada ya kuuza mjengo wake huo, sasa anaishi hotelini na anasema ataishi hapo hadi kifo kitakapo mkuta.

Adriano analipia £ 10000 kwa mwezi sawa na milioni 27 za kitanzania.

Unaambiwa wakati anahama, hakubeba nguo wala vitu vya ndani, isipokuwa medali zake na tuzo zake alizopata katika maisha yake ya soka.

Taarifa hii kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya mtandaoni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live