Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota huyu Simba Queens asepa na mpira

Jonesia Na Mpira 1024x1014 Nyota huyu Simba Queens asepa na mpira

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Simba Queens, Jentrix Shikangwa amesepa na zawadi ya mpira baada ya kufunga hat trick katika Ligi ya Wanawake Tanzania.

Hat trick hiyo ilipachikwa kipindi cha pili kwenye mchezo dhidi ya Alliance Girls uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Januari 27 2024.

Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba Queens 7-0 Alliance Girls ambao waliyeyusha pointi tatu ugenini.

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally amesema kuwa wameanza kazi upya ndani ya Ligi ya Wanawake Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live