Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota Yanga Princess amkabidhi Rais zawadi ya Jezi

Hersi X Jezi Msumbiji Nyota Yanga Princess amkabidhi Rais zawadi ya Jezi

Thu, 26 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Klabu ya Young Africans Sports Club, Eng. Hersi Saidi amepokea zawadi ya jezi ya timu ya taifa ya Mozambique kutoka kwa mchezaji wa Yanga Princes, Cuta Ninita ambae ni sehemu ya kikosi cha timu ya taifa ya wanawake Mozambique, iliyoshiriki michuano ya COSAFA, 2023.

Rais wa Klabu ya Young Africans Sports Club, Eng. Hersi Saidi amepokea zawadi ya jezi ya timu ya taifa ya Mozambique kutoka kwa mchezaji wa Yanga Princes, Cuta Ninita ambae ni sehemu ya kikosi cha timu ya taifa ya wanawake Mozambique, iliyoshiriki michuano ya COSAFA, 2023. Pia Cuta amekabidhi Medali kwa Rais wa Klabu kama zawadi ya kushukuru kwa mchango mkubwa kutoka timu ya taifa ya wanawake, Mozambique kupitia mchezaji wake, na kushika nafasi ya tatu katika michuano hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: