Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota Yanga Princess alamba dili Ulaya

Masakaaaaa.jpeg Aisha Khamis Masaka

Tue, 15 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga leo Machi 15, 2022 imetangaza mchezaji wake wa Yanga Princess, Aisha Khamis Masaka kusajiliwa na timu ya BK Häcken FF ya nchini Sweden.

Klabu ya Yanga leo Machi 15, 2022 imetangaza mchezaji wake wa Yanga Princess, Aisha Khamis Masaka kusajiliwa na timu ya BK Häcken FF ya nchini Sweden. Klabu ya BK Häcken FF ni Mabingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake nchini Sweden msimu wa 2020.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live