Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota Ufaransa wakumbana na ubaguzi

Coman 1200 600x347 Nyota Ufaransa wakumbana na ubaguzi

Mon, 19 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa timu ya taifa ya Ufaransa wenye asili ya Afrika, Kingsley Coman na Aurelien Tchouaméni, wanashambuliwa kibaguzi na baadhi ya mashabiki wa taifa hilo mara baada ya kukosa mikwaju ya penati kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Argentina hapo jana.

Mashabiki hao wanaacha maoni(comments) za kibaguzi kama vile (???????? ) na wengine kuwaita "Nigas"kwenye kurasa za Instagram za mastaa.

Tukio kama hili limewahi kuwakuta nyota wa England Bukayo Saka, Rashford na Sancho walivyokosa penati dhidi ya Italia kwenye fainali ya Mataifa ya Ulaya (EURO 2020).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live