Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota Real Madrid aichagua Morocco, aitema Hispania

Brahim Diaz Nyota wa Real Madrid, Brahim Díaz

Wed, 11 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Real Madrid, Brahim Díaz ameamua kuchagua taifa la Morocco na kuitumikia Timu ya Taifa hilo na Kuachana na Uhispania huku akitaka kukamilisha taratibu zote mapema kabla ya AFCON kuanza ili awe Mmoja wapo katika kikosi cha Morocco.

Nyota wa Real Madrid, Brahim Díaz ameamua kuchagua taifa la Morocco na kuitumikia Timu ya Taifa hilo na Kuachana na Uhispania huku akitaka kukamilisha taratibu zote mapema kabla ya AFCON kuanza ili awe Mmoja wapo katika kikosi cha Morocco. Baba Mzazi wa nyota huyo asili yake ni Morocco ndio maana akaamua kufata taifa la baba yake licha ya Mama yake kuwa Mhispania na Maisha yake yote yakiwa ndani ya uhispania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live