Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota Nigeria anavyolisimamisha bara la Ulaya

Chiamaka Nnadozie.jpeg Mwanadada mlinda lango raia wa Nigeria Chiamaka Nnadozie

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanadada mlinda lango raia wa Nigeria Chiamaka Nnadozie amekuwa mlinda lango bora kwa sasa barani ulaya Kwenye soka la Wanawake.

Alidaka penalt Kwenye mechi iliyopita na kuiondosha kabisa Arsenal katika raundi ya kwanza ya UEFA Champions League

Tena jana usiku aliokoa penalti 2 muhimu dhidi ya Wolfsburg ya Ujerumani kwenye Ligi ya Mabingwa na kuisaidia timu yake ya Ufaransa, Paris FC kuondoka na ushindi wa magoli 2-0

Chanzo: www.tanzaniaweb.live