Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota Namungo atupia Hat-trick

Mkoko Hat Trick Ibrahim Abdalah Ally " Mkoko" Akipokea mpira baada ya kufunga Magoli matatu (Hat Trick)

Tue, 24 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Namungo Ibrahim Alli (Ibrahim Mkoko) amekuwa mchezaji wa kwanza anayecheza timu tofauti ya Simba Sc na Young Africans kufunga hat trick katika Nbc premier league msimu huu.

Ibrahim Mkoko pia sasa amekuwa miongoni mwa wachezaji wanne pekee waliofunga hat trick kwenye Nbc premier league msimu huu hadi sasa.

Fiston Mayele (Young Africans)

John Bocco (Simba Sc)

Said Ntibazonkiza (Simba Sc)

Ibrahim Mkoko (Namungo)

Ibrahim Mkoko katika michezo miwili iliyopita ya Nbc premier league ugenini

dhidi ya Coastal Union (bao 1)

dhidi ya Kmc (mabao matatu)

Takwimu zake kwenye Nbc premier league msimu huu hadi sasa

michezo 8

ameanza michezo 5

dakika 510

mabao 4

pasi za mabao 0

Ana wastani wa kufunga bao kila baada ya dakika 127, Ibrahim Mkoko kijana wa kizanzibar umri wake ni miaka 22

Chanzo: www.tanzaniaweb.live