Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota Man United afunga mitandao yake ya kijamii kupisha mfungo wa Ramadhan

Diallo Afuta Nyota wa klabu ya Manchester United na timu ya Taifa ya Ivory Coast Amad Diallo

Wed, 13 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa klabu ya Manchester United na timu ya Taifa ya Ivory Coast Amad Diallo amefunga ukurasa wa instagram kupisha mwezi mtukufu wa Ramadhan.

"Nimefunga mitandao yangu ya kijamii kwa mwezi mmoja kwa ajili ya Ramadhani."

"Huu Ni mwezi mtukufu kwangu, mitandao ya kijamii ni mahali ambapo kuna mambo mabaya mengi ambayo naweza kuona wakati huu wa mfungo." Amesema Amad Diallo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live