Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota Man City amdharau Lionel Messi

Inter Miami Ya Messi Kumyenyana Na Al Nassr Ya Ronaldo Nyota Man City amdharau Lionel Messi

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Manchester City Doku amefanya mahojiano na kuulizwa ni yupi bora kwake kati ya Messi na Ronaldo

Reporter: Messi au Ronaldo?

Doku: “Kama mchezaji hajaonesha ubora wake EPL kwangu ni mchezaji wa kawaida ,CR7 ni Legend hapa England , Hispania , Italy na Ureno kwanini umlinganishe na mchezaji aliyefeli Ligue 1 ? “

“Kumlinganisha Ronaldo na Messi ni matusi kwa Ronaldo ,yule ni mchezaji mkubwa hakuna wakufika ubora wake “

Chanzo: www.tanzaniaweb.live