Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota Fulham hatarini kufungiwa mechi 10

Mitrovic Nyota Fulham hatarini kufungiwa mechi 10

Tue, 21 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka Nchini Uingereza FA limesema huenda mshambuliaji wa Fulham Aleksandar Mitrovic akaongezwa adhabu baada ya kuoneshwa kadi nyekundu kwenye mechi ya Jumapili dhidi ya Man United katika Uwqanja wa Old Trafford.

Shirikisho la soka Nchini Uingereza FA limesema huenda mshambuliaji wa Fulham Aleksandar Mitrovic akaongezwa adhabu baada ya kuoneshwa kadi nyekundu kwenye mechi ya Jumapili dhidi ya Man United katika Uwqanja wa Old Trafford. FA imekuwa ikisukumwa kumuongezea adhabu raia huyo wa Serbia na sasa Mitrovic yuko katika hatari ya kupewa adhabu ya kutoshiriki mechi 10 kwa kitendo chake cha kumsukuma mwamuzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: