Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota EPL: Messi akibeba Ballon D'or ni kashfa kubwa katika Soka

Michail Antoniooo Nyota EPL: Messi akibeba Ballon D'or ni kashfa kubwa katika Soka

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa klabu ya West Ham United Michail Antonio anaamini kuwa Lionel Messi hastahili kubeba tuzo ya mchezaji bora wa Dunia mwaka huu licha ya kuisaidia timu yake ya Taifa ya Argentina kubeba ubingwa wa kombe la Dunia, Antonio anaamini kama Messi atabeba mbele ya Haaland itakuwa ni kashfa kubwa.

Mshambuliaji wa klabu ya West Ham United Michail Antonio anaamini kuwa Lionel Messi hastahili kubeba tuzo ya mchezaji bora wa Dunia mwaka huu licha ya kuisaidia timu yake ya Taifa ya Argentina kubeba ubingwa wa kombe la Dunia, Antonio anaamini kama Messi atabeba mbele ya Haaland itakuwa ni kashfa kubwa. Mshambuliaji huyo wa West Ham United anaamini kuwa Erling Braut Haaland anastahili kubeba tuzo hiyo kutokana na kiwango alichokionyesha msimu uliopita ambapo alifunga jumla ya magoli 52 akiwa na Manchester City katika mshindano yote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live