Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota Brighton apata shambulio la moyo

Mwepu Enock Mwepu Enoch Mwepu

Mon, 16 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa kiungo wa Brighton na timu ya taifa Zambia Enoch Mwepu jana Januari 15, 2023 alikimbizwa hospitali baada ya kuanguka kwa kile kinachohisiwa kuwa mshtuko wa moyo.

Aliyekuwa kiungo wa Brighton na timu ya taifa Zambia Enoch Mwepu jana Januari 15, 2023 alikimbizwa hospitali baada ya kuanguka kwa kile kinachohisiwa kuwa mshtuko wa moyo. Mwepu (25) raia wa Zambia alilazimika kutundika daluga akiwa na umri wa miaka 24 tu baada ya kupatwa na tatizo la moyo lisilo la kawaida.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live