Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota Arsenal aweka rekosi ya kipekee

Leandro Trossard Three Asist Leandro Trossard

Mon, 13 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa kwanza katika historia ya premier league kutoa pasi tatu za mabao ndani ya dakika 45 za kipindo cha kwanza katika mchezo wa ugenini.

mchezaji wa kwanza tangu Santi Carzola msimu wa 2012-13, kufunga mabao matatu kwenye mchezo mmoja na kutoa pasi za mabao tatu kwenye mchezo mmoja ndani ya msimu mmoja wa premier league.

Dhidi ya Liverpool (mabao matatu)

Dhidi ya Fulham (pasi tatu za mabao)

Leandro Trossard katika premier league tangu alipojiunga na Arsenal

Michezo 9

Dakika alizocheza 390

Mabao 1

Pasi za mabao 5

Chanzo: www.tanzaniaweb.live