Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota 10 tembo warriors wala shavu Ulaya

Tembo Warriors 1 Game Kikosi cha Timu ya Taifa ya walemavu, Tembo Warriors

Tue, 1 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota 10 wa timu ya taifa ya soka kwa watu wenye ulemavu (Tembo Warriors) wamesajili kucheza soka la kulipwa nchini Uturuki.

Wachezaji hao ni Alfan Kyanga, Juma kidevu, Habibu Likoike na Shedrack Hebron waliosajiliwa kwenye klabu ya Sisli Yeditepe.

Wengine ni Abdulkarim Amiri na Salimu Bakari waliosajiliwa na klabu ya Keysari na Ramadhan Chomelo aliyejiunga na klabu ya Konya.

Wakati Frank Ngailo akiwa kwenye klabu ya Izmir BBSK na Mudrick Azzan na Richard Swai wakiwa kwenye klabu ya Mersin.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live