Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyoni, Ulimwengu wafutiwa kadi nyekundu

Nyoni, Ulimwengu Wafutiwa Kadi Nyekundu Nyoni, Ulimwengu wafutiwa kadi nyekundu

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi Kuu Tanzania TPLB katika kikao chake cha Machi 20, 2024 ilipitia mwenendo na amatukio mbalimbali ya Ligi na kufikia maamuzi kadhaa ikiwemo kufuta kadi nyekundu zilizotolewa kwa Thomas Ulimwengo na Erasto Nyoni.

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi Kuu Tanzania TPLB katika kikao chake cha Machi 20, 2024 ilipitia mwenendo na amatukio mbalimbali ya Ligi na kufikia maamuzi kadhaa ikiwemo kufuta kadi nyekundu zilizotolewa kwa Thomas Ulimwengo na Erasto Nyoni. Thomas Ulimwengu wa Singida FG na Erasto Nyoni wa Namungo FC walipewa kadi hizo kwenye mchezo uliozikutanisha timu hizo namba 167 ambao Namungo alishinda 1-0.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live