Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nuno ala shavu Nottingham Forest

Screenshot 2023 12 20 At 10 Nuno Espírito Santo

Thu, 21 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa kocha Wolverhampton, Nuno Espírito Santo ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Nottingham Forest akichukua mikoba ya Steve Cooper aliyeoneshwa mlango wa kutokea kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo.

Aliyekuwa kocha Wolverhampton, Nuno Espírito Santo ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Nottingham Forest akichukua mikoba ya Steve Cooper aliyeoneshwa mlango wa kutokea kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo. Nuno (49) raia wa Ureno ambaye pia amewahi kuinoa Tottenham Hotspur na Al Ittihad ya Saudi Arabia amesaini mkataba mpaka 2026.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live