Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nuno Santo huyoo EPL kwa mara nyingine

Stveve X Santo Nuno Santo huyoo EPL kwa mara nyingine

Tue, 19 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Nottingham Forest inatazamiwa kumteua mkufunzi wa zamani wa Wolves na Tottenham, Nuno Espirito Santo siku chache zijazo, huku Mreno huyo mwenye umri wa miaka 49 akichukua nafasi ya meneja wa sasa Steve Cooper.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live