Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ntibanzonkiza kinara wa mabao Simba SC

Ntibanzonkiza Kinara Wa Mabao Simba SC Ntibanzonkiza kinara wa mabao Simba SC

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Said Ntibazonkiza ndiye kinara wa kupachika magoli kwa Simba SC mpaka sasa kwenye NBC Premier League msimu huu.

Ameshafunga magoli matano na assist mbili akifuatiwa na Clatous Chama ambaye anamagoli manne na assist tano.

Je leo ataendelea kutupia tena?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live