Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Novatus kukipiga na FC Porto Septemba 19

Novatus Dismas Miroshi Novatus Dismas

Tue, 12 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa kimataifa wa Tanzania na timu ya Shakhtar Donetski Novatus Dismas Miroshi, kwa mara ya kwanza atashuka dimbani kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye Ligi ya mabingwa Barani Ulaya dhidi ya mabingwa wa zamani wa Ligi hiyo FC Porto Jumanne ya September 19.

Novatus anakuwa Mtanzania wa pili kwa miaka ya hivi karibuni kucheza michuano hii mikubwa baada ya Mbwana Ally Samatta alipofanya hivyo akiwa na KRC GENK ya Ubelgiji.

Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya hatua ya makundi itaanza kurindima mapema wiki ijayo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live