Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Novatus ajumuishwa kikosi kitakachocheza UEFA

Novatus Dismas Miroshi Novatus Dismas Mirosho

Tue, 5 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shakhtar imetaja kikosi cha wachezaji 33 watakachocheza Uefa msimu huu wa 2023/24 huku jina la nyota wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi likiwa sehemu ya nyota hao.

Katika michuano ya UEFA 2023/24 bendera ya Tanzania itakuwa ikionekana pindi Shakhtar itakapokuwa ikishuka dimbani.

Hongera Nova, Tanzania inajivunia wewe, watanzania wanakuangalia, ipeperushe vyema champion.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live