ALIYEKUWA mchezaji wa Biashara United ya Mara nafasi ya kiungo mshambuliaji, Denis Nkane (18) ameaga rasmi ndani ya klabu hiyo kwa ajili ya kuelekea Yanga ambako ataanza kuwatumikia Wananchi hao wa Jangwani.
"Napenda nichukue nafasi hii kuushukuru uongozi wa klabu ya Biashara United kwa kuwa hawa ndio wamenitambulisha mimi kwenye ligi na soka. Pia napenda nichue nafasi hii kuwashukuru wachezaji wenzangu kwa muda wote niliokuwa nao, kwasasa ni muda wangu wa kwenda kutafuta changamoto nyingine," amesema Nkane.
Denis Nkane Profile
First Name : Denis
Last Name : Nkane
Place of Birth : Tanzania
Date of Birth : 30 September 2003
Nationality : Tanzanian
Team: Yanga Sc
League : NBC Tanzania Premier League 2021/2022
Position : Wing (Left and Right)
Caf Confederation Cup 2021/2022