Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Niyozima bado yupo sana Yanga

Mtanzanianews 131974957 942589129604772 5820345279137832746 N 660x400 Niyozima bado yupo sana Yanga

Sat, 19 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Klabu ya Yanga imemuongezea mkataba kiungo wake Haruna Niyonzima raia wa Rwanda, kuendelea kukipiga Jangwani, lakini uongozi wa timu hiyo haujaweka ni mkataba wa muda gani.

Niyonzima aliyerejea Yanga katika kipindi cha dirisha dogo msimu uliopita, ameongezewa mkataba huo baada ya awali kuwepo kwa tetesi za kuachwa na kikosi kutokana na kukosa na namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza.

“Klabu yetu ya Yanga leo tumeongeza Mkataba na Kiungo wetu Niyozima, Fabregas bado yupo yupo sana jangwani,”. Yanga

DUUH!! WAZIRI MKUU AWASHA MOTO “MNANIDANGANYA, HOVYO KABISA HAPA NAKUNA WATUMISHI HAMISHA”

Chanzo: millardayo.com