Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ninja mambo yamnyookea DR Congo

Abdallah Shaibu Ninja Lubumbashi Ninja mambo yamnyookea DR Congo

Fri, 10 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Akiwa na kikosi cha Matajiri wa Lubumbashi, Lubumbashisport Abdallah Shaibu 'Ninja' ametokea kwenye kikosi bora cha nusu msimu Cha Ligi kuu DRC.

Akiwa na kikosi cha Matajiri wa Lubumbashi, Lubumbashisport Abdallah Shaibu 'Ninja' ametokea kwenye kikosi bora cha nusu msimu Cha Ligi kuu DRC. Nyota huyo tangu ametua kikosini hapo amekua na kiwango bora hali ya kumfanya aingie kwenye kikosi Cha kwanza na kuisaidia miamba hiyo kua katika nafasi ya tatu nyuma ya Lupopo na Mazembe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live