Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nini kilikwamisha dili la Fekir kutua Liverpool?

Nabil Fekir Fekir Nabil Fekir

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Moja kati ya sajili zilizokuwa zinasubiriwa kwa hamu Liverpool, ni ujio wa Nabil Fekiro toka Lyon ghafla jini mkata kamba akapita na kupeperusha dili hilo.

Nabil Fekir mwenyewe anakwambia haelewi ilikuwaje usajili wake ukafeli, sababu majeraha ya goti aliyoyapata 2015-16 yaliyomfanya akakaa nje kwa karibia msimu mzima yalikuwa yameshapona.

Lakini cha kushangaza Liverpool wakawa na hofu ya kumsajili na wakamuacha, Fekir anakwambia hata video ya 'welcome to Liverpool' ilikuwa imesharekodiwa ghafla mambo yakabadilika.

Fekir alitua Real Betis ya La Liga ambako ndiko anakokipiga mpaka sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live