Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nigeria yashinda mechi ya kwanza ya kirafiki tangu miaka 5 iliyopita

Nigeria Sds Nigeria yashinda mechi ya kwanza ya kirafiki tangu miaka 5 iliyopita

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa Nigeria ‘Super Eagles’ imepata ushindi wa kwanza wa mechi za kirafiki baada ya miaka mitano kufuatia ushindi wa 3-2 dhidi ya Msumbiji.

FT: Nigeria 3-2 Msumbiji

Nigeria ⚽ Terem Moffi - 19’ ⚽ Frank Onyeka - 30’ ⚽ Moses Simon (pen) - 45+3’

Msumbiji ⚽ Catamo - 6’ ⚽ Bangal - 55’

Msumbiji imeendelea kuwa mteja mbele ya Nigeria ikishindwa kupata ushindi baada ya mechi tano, vipigo vinne na sare moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live