Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nigeria ndio Timu inayoogopwa AFCON

Frank Onyeka Mshambuliaji wa klabu ya Brentford na timu ya Taifa ya Nigeria Frank Onyeka

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa klabu ya Brentford na timu ya Taifa ya Nigeria Frank Onyeka anaamini nchi zingine zinaogopa kukutana na Nigeria katika michuano ya AFCON kutokana na vipaji walivyonavyo kwasasa.

Frank Onyeka anaamini kuwa timu ya Nigeria itabeba kombe lijalo huko nchini Ivory Coast kutokana na mkusanyiko wa vipaji vingi uliopo.

Unadhani ni kweli Nigeria watabeba kombe lijalo la AFCON

Chanzo: www.tanzaniaweb.live