Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Niger wapanga mbinu chafu kuikwamisha Stars kufuzu AFCON

Taifa Stars Players Wachezaji wa Taifa Stars

Mon, 19 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Tanzania kushinda 1-0 dhidi ya Niger, kocha wa Tanzania Adel Amrouche amesema kocha msaidizi wa Niger amezungumza kuwa watawapa ushindi Uganda kwenye mechi yao ya mwisho.

Amrouche amesema endapo Niger watafanya kitendo hicho cha kuruhusu kufungwa na Uganda,watakuwa wamefanya mchezo usio wa kiungwana na watawachukulia hatua.

Taifa Stars jana Jumapili iliibuka na ushindi wa bao 1-0 mbele ya Niger kuwania kufuzu AFCON 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live