Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nicolas Dupuis kocha mpya Sudan Kusini

Nicolas Dupuis 710x448 1 Kocha Nicolas Dupuis.

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkufunzi, Nicolas Dupuis ameteuliwa kuwa kocha mkuu ya timu ya Taifa ya Sudan Kusini kwa mkataba wa miaka mitatu mpaka 2026.

Mkufunzi, Nicolas Dupuis ameteuliwa kuwa kocha mkuu ya timu ya Taifa ya Sudan Kusini kwa mkataba wa miaka mitatu mpaka 2026. Dupuis (55) raia wa Ufaransa aliiongoza Madagascar kufuzu AFCON kwa mara ya kwanza katika historia ya Nchi hiyo mnamo 2019 na kuifikisha robo fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live