Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nico Williams: Sitaki timu nyingine zaidi ya Barcelona

Nico Williams Barca Nico Williams

Mon, 29 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Athletic Bilbao, Nico Williams amewaambia mawakala wake kua wapuuzie ofa zingine zote isipokua Ofa ya Kujiunga na Fc Barcelona au kubakia Bilbao.

FC BARCELONA wameshatuma Ofa kwa Nico Williams hivyo wanangoja majibu ya mchezaji pia Barcelona wameshatuma Ofa kwa Dan Olmo huko RB Leipzig.

Nico Williams Mpaka sasa ana machaguo Matatu Kichwani;

* Kuendelea kusalia ndani ya klabu ya Athletic

* Kujiunga na PSG

* Kujiunga na Barcelona.

Kumbuka Nico Williams anahakikisha anajiunga na Barcelona ili akaungane na Rafiki yake Lamine Yamal Pamoja na Dan Olmo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live