Mlinzi Nicholas Opoku (26) anayechezea klabu ya Amiens ya Ufaransa kwa mkopo kutoka klabu ya Udinese ya Serie A amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa Ghana 'Black Stars' kwa dharura akichukua nafasi ya Alexander Djiku na Mohamed Salisu waliopata majeraha kuelekea mchezo wa leo kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Angola.
Mlinzi Nicholas Opoku (26) anayechezea klabu ya Amiens ya Ufaransa kwa mkopo kutoka klabu ya Udinese ya Serie A amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa Ghana 'Black Stars' kwa dharura akichukua nafasi ya Alexander Djiku na Mohamed Salisu waliopata majeraha kuelekea mchezo wa leo kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Angola. Salisu na Djiku wamepata majeraha na kufanya Ghana kusaliwa na Daniel Amartey na Aidoo kama walinzi pekee wa kati kuelekea mchezo huo.