Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ni makosa kumlinganisha Chama na Pacome - Saleh Jembe

Ni Makosa Kumlinganisha Chama Na Pacome   Saleh Jembe Ni makosa kumlinganisha Chama na Pacome - Saleh Jembe

Wed, 28 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi na mwandishi nguli wa michezo, Saleh Jembe amefanya mahojiano na baadhi ya waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa kiwango alichonacho Clatous Chama mchezaji wa Simba hakilinganishwi na cha Pacome mchezaji wa Yanga.

Mchambuzi na mwandishi nguli wa michezo, Saleh Jembe amefanya mahojiano na baadhi ya waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa kiwango alichonacho Clatous Chama mchezaji wa Simba hakilinganishwi na cha Pacome mchezaji wa Yanga. Saleh ameendelea kuwaambia waandishi hao kuwa Chama ameipeleka Simba robo fainali mara kadhaa na amefanya makubwa sana kwa upande wa soka la Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live