Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ni kweli Yanga inamuhitaji Mkude?

Jonas Mkude 12 Jonas Mkude

Wed, 28 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Simba SC kutangaza kuachana na Kiungo wake wa muda mrefu, Jonas Mkude ambae amedumu Simba kwa zaidi ya miaka 10, amekuwa akitajwa kwenye vilabu mbalimbali hapa nchini ikiwemo, Singida Fountain Gate na Yanga Sc.

Kutajwa kwa Mkude kujiunga na Yanga na maandiko mengi yakimuhusisha kuwa ndiye mrithi wa Feisal Salum (Fei Toto) pale Yanga kumeibua maswali mengi zaidi.

Iwe ukweli au uongo kwenye Tetesi hizo, Je unadhani Yanga inahitaji huduma ya Jonas Mkude ?

Tuachie maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: