Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ni Inonga pekee walau anaweza kupata nafasi Al Ahly - Nasri Khalfan

Ni Inonga Pekee Walau Anaweza Kupata Nafasi Al Ahly   Nasri Khalfan Ni Inonga pekee walau anaweza kupata nafasi Al Ahly - Nasri Khalfan

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa soka Bongo Nasir Khalfan amesema haoni kama mjadala wa kuwafananisha wachezaji wa Al Ahly na Simba SC una afya kwani unaweza kuwanyong'onyeza mashabiki wa Simba.

Amesema uwezo walionao wachezaji wa Al Ahly ni ardhi na mbingu kuwafananisha na wale wa Simba na mchezaji pekee ambaye walau anaweza kupambana na pengine kupata nafasi ya kucheza Al Ahly ni mlinzi wa kati wa Simba,Henock Inonga.

"Walau Inonga anaweza kupambana akapata namba kama akiacha masihala," alisema Nasri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live