Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ni Dabi ya Yanga na Simba wanawake leo

Ni Dabi Ya Yanga Na Simba Wanawake Leo.jpeg Ni Dabi ya Yanga na Simba wanawake leo

Thu, 25 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni Kariakoo Derby katika Ligi Kuu ya Wanawake leo Alhamisi Saa 10:00 jioni, Yanga Princess kuwakaribisha Simba Queens katika dimba la Azam Complex.

Ni Kariakoo Derby katika Ligi Kuu ya Wanawake leo Alhamisi Saa 10:00 jioni, Yanga Princess kuwakaribisha Simba Queens katika dimba la Azam Complex. Katika mechi ya mzunguko wa kwanza Simba Queens waliibuka na ushindi. Je, ni Simba Queens tena ama Yanga Princess kulipa kisasi? Tusubiri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live